( GTV ) MUOSHA HUOSHWA – GOSPEL
JE VYOMBO VYA HABARI VIKO HURU? VINA UHURU KIASI GANI? Is Media free? How free are they? Watangazaji wanahama kila kukicha wakihamia kwenye MEDIA zilizo katika mrengo wa serikali. Inasemekana huko marupurupu ni mengi.Wanaahidiwa magari,nyumba na pesa.Je wanahabari kama hao wanaweza kudai wako huru kutoa maoni yao? Au wanatoa maoni ya mwajiri wao?Kwa nini huyo mwajiri asiwe mwanahabari ili atoe maoni yake kuliko kuwatumia wanataaluma hao na kuwageuza KASUKU? Tunakokwenda tutafika? kwa mtindo huu nina mashaka. WASEMAJE? (gospelgtv.com Itv channel10 tvt atn cnn bbc kbc citizen tv star ubc gospel music kibaki raila odm narc kenya elections presidential candidate uhuru ruto mudavadi kalonzo nazlin ojiambo) wow world of warcraft cheats hacks exploits Christian Church Worship Gospelrap Praise GetGospel HolyHipHop HHH Gospel Music Gospelmusic Entertainment