( GTV ) MUOSHA HUOSHWA – GOSPEL

Thursday, August 19th, 2010

JE VYOMBO VYA HABARI VIKO HURU? VINA UHURU KIASI GANI? Is Media free? How free are they? Watangazaji wanahama kila kukicha wakihamia kwenye MEDIA zilizo katika mrengo wa serikali. Inasemekana huko marupurupu ni mengi.Wanaahidiwa magari,nyumba na pesa.Je wanahabari kama hao wanaweza kudai wako huru kutoa maoni yao? Au wanatoa maoni ya mwajiri wao?Kwa nini huyo [...]